Just Like You

Just Like You
Just Like You Cover
Kasha ya albamu ya Just Like You.
Studio album ya Keyshia Cole
Imetolewa 25 Septemba 2007
Imerekodiwa 2006-2007
Aina R&B, hip hop soul
Urefu 48:51
Lugha Kiingereza
Lebo Imani/Geffen
Mtayarishaji Pete Rock, Missy Elliott, Bryan-Michael Cox, Scott Storch, Ron Fair, Rodney Jerkins, The Runners, Mario Winans, Diddy, J. Wells, Gregory G. Curtis, The GhostWriters, T.Rey & C. Broan, Shawn Carroll, Soulshock
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Keyshia Cole
The Way It Is
(2005)
Just Like You
(2007)
A Different Me
(2008)
Single za kutoka katika albamu ya Just Like You
  1. "Let It Go"
    Imetolewa: 19 Juni 2007
  2. "Shoulda Let You Go"
    Imetolewa: 19 Oktoba 2007
  3. "I Remember"
    Imetolewa: 5 Desemba 2007
  4. "Heaven Sent"
    Imetolewa: 27 Machi 2008


Just Like You ni albamu ya pili ya mwanamuziki aitwaye Keyshia Cole. Mwanzowe, ilitolewa mnamo 8 Julai 2007, kisha tarehe ikapelekwa mbele hadi 7 Agosti 2007, na hatimaye ikatolewa 25 Septemba 2007. Albamu hii ilichaguliwa kama Best Contemporary R&B Album kwenye tuzo ya 50th Annual Grammy Awards lakini ilishindwa na albamu ya Ne-Yo inayoitwa Because of You. Mnamo Desemba 2007, albamu hii ilithibitishwa platinum.

Wasanii walioshiriki naye ni kama Missy Elliott, Lil Kim, Too $hort, Amina, Anthony Hamilton, Young Dro, T.I., Chink Santana & Piper.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy